Uongozi wa Yanga hapo jana ulifunga safari mpaka uwanja wa mazoezi wa klabu hiyo huku lengo kuu ni kutoa hamasa kueleke mchezo wa jumapili kati yao na Simba SC. Msafara huo uliongozwa na mwenyekiti wa Yanga Dr. Mshindo msola akiwa na mjumbe wa GSM anayesimamia masuala ya uwekezaji ndani ya Yanga pamoja na kamati ya ushindi iliyoundwa hivi karibuni. Vyanzo vya ndani vinasema lengo la ziara hiyo ya uongozi wa Yanga na GSM ni kuhakikisha wanatoa ufafanuzi juu ya ahadi ya kutoa milioni 200 endapo Yanga wataibuka washindi mchezo wa kesho dhidi ya Simba. Zifuatazo ni picha mbalimbali za wachezaji na kamati ya ushindi ilipotembelea uwanjani hapo
Post a Comment
0
Comments
MERIDIAN BET
EURO 2024
Kuanzia tarehe 14 june to 14 july AMOSPOTIXTRA TEAM itakuwa ujerumani kukuletea michuano ya EURO2024
0 Comments