BETI NASI UTAJIRIKE

EYMAEL ASHTUKIA MCHONGO ,AJA NA MBINU MPYA DHIDI YA MBAO FC







Kikosi cha Yanga kinaingia dimbani jioni ya Leo dhidi ya Mbao Fc kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara. Mwalimu eymael anaonekana kuwachanganya wapinzani wake Simba Sc kwani amewaweka nje wachezaji wa kikosi cha kwanza na sasa anatumia wachezaji wa akiba.

Hiki ni kikosi cha Yanga sc dhidi ya Mbao Fc Mchezo utakaopigwa jioni ya leo uwanja wa Taifa Dar es salaam

1. Farouk Shikhalo
2. Juma Abdul
3. Adeyum Saleh
4. Kelvin Yondani
5. Lamine Moro
6. Papy Tshishimbi
7. Mohammed Issa
8. Feisal Salum
9. David Molinga
10. Mrisho Ngasa
11. Patrick Sibomana

SUB
Metacha Mnata
Bernard Morrison
Tariq Seif
Mapinduzi Balama
Deus Kaseke
Said Juma
Ally Mtoni

Wachambuzi wanaamini kocha Eymael amewapumzisha wachezaji wake mahili ili kuwaandaa na mechi dhidi ya Simba huku pia akitumia nafasi hiyo kuwanyima mbinu wapinzani wake Simba kuelekea Mchezo wao wikiendi hii

Post a Comment

0 Comments