Nahodha Msaidizi wa Yanga Juma Abdul ameamua kurejea kivingine baada ya janga la Corona kwani kanyoa nywele zake.Tangu msimu uliopita Abdul alikuwa akifuga rasta, lakini kuanzia jana, nyota huyo aliamua kuziondoa rasta hizo na kunyoa upara
Kwa sasa wachezaji wa Yanga wanaendelea na mapumziko wakati Serikali ikiendelea na jitihada za kudhibiti maambukizi ya Corona
MUONEKANO MPYA WA JUMA ABDUL MNYAMANI
MUONEKANO MPYA WA JUMA ABDUL MNYAMANI
0 Comments