Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limeahirisha Mashindao ya Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ndani (CHAN) kufuatia kuongezeka kwa maambukizi ya COVID19 (virusi vya corona)
Mashindano hayo yalipaswa kuanza April 04 mpaka April 25 2020 huko Cameroon
Tanzania ni miongoni mwa timu zilizokuwa zishiriki mashindano hayo ambapo kikosi cha Stars bado kiko kambini
Baada ya uamuzi huo ni wazi kambi itavunjwa na wachezaji kurejea kwenye timu zao kuendelea na ligi kuu (kama TFF haitasimamisha ligi)
0 Comments