advertise with us

ADVERTISE HERE

UJUMBE WA MASAU BWILE KWA WANASIMBA

Msemaji wa klabu ya  Ruvu Shoting ameendelea kutum salamu kwa mashabiki na wachezaji wa Simba kwenye mchezo unaofuata waligi kuu Tanzania Bara 


"Tunataka kuwapapasa wote Wanne ambao walishiriki michuano ya Kimataifa ,Tumesha wapapasa watatu Yaani Yanga, Azam fc, na KMC, Sasa amebaki huyu Mmoja ambaye watu wanamsifia sana.
Tunataka tuwadhihiridhie waTanzania kuwa tumedhamiria kumaliza ligi kuu VPL tukiwa nafasi 3 za juu" 


Ruvu shooting inashika nafasi ya Nne kwenye msimamo wa ligi kuu Tanzania bara na iliifunga Yanga na Azam mwanzoni mwa ligi 

Post a Comment

0 Comments