BETI NASI UTAJIRIKE

YANGA WATOA SABABU ZA KUMTIMUA GAMONDI

 Klabu ya Yanga imetangaza rasmi kuachana na aliyekuwa kocha mkuu Miguel Gamondi pamoja na msaidizi wake Musa Ndauw.

Taarifa za makocha hao kuondolewa zilianza kuvuma mara baada ya klabu hiyo kupoteza michezo ya Azam kwa bao 1-0 na ule waliofungwa mabao 3-1 na  Tabora United.

hii hapa barua iliyotokea na Mkurugenzi mkuu wa timu

Post a Comment

0 Comments