Shirikisho la Soka Duniani limeifungia klabu ya Yanga kufanya usajili wa wachezaji wa nje mpaka pale watakapomlipa mchezaji wao wa zamani Augustine Okrah fedha zote za usajili walizokubaliana. FIFA wameiagiza TFF kuifungia Yanga haraka kufanya usajili wa ndani mpaka itakapokamilisha malipo ya pesa ya Okrah
0 Comments