BETI NASI UTAJIRIKE

SIMBA YAJA KIVINGINE KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

 Klabu ya Simba Sc imetambulisha rasmi jezi zitakazotumika michuano ya kombe la shirikisho hatua ya makundi msimu wa 2024/25.Klabu hiyo ya Kariakoo imekuwa na utamaduni wa kuvaa jezi tofauti tofauti kulingana na michuano inayoshiriki.



Simba wataanza kampeni yake ya kutwaa ubingwa wa kombe la shirikisho dhidi ya Bravos do Maquis mchezo utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam.

Hizi hapa jezi zitakazovaliwa na Simba michuano ya kombe la shirikisho

Post a Comment

0 Comments