BETI NASI UTAJIRIKE

AMORIM ANAISUKA UPYA MANCHESTER UNITED

 Manchester United wana na nia ya kumsajili kinda wa Ureno Geovany Quenda, Gyokeres bado anaweza kuwa mchezaji wa United, Wojciech Szczesny anatarajiwa kusaini mkataba mpya Barcelona.

Manchester United pia wameambiwa kuwa Sporting huenda hawana budi ila kumuuza mshambuliaji wa Uswidi Viktor Gyokeres, 26, lakini sio katika dirisha la uhamisho la Januari. (Mirror)

Manchester United wanajaribu kupata mkataba wa kumnunua winga wa Sporting mwenye umri wa miaka 17 Mreno Geovany Quenda. (A Bola - kwa Kireno)


Barcelona wanafikiria kumpa kipa Wojciech Szczesny, 34, mkataba mpya wiki chache baada ya raia huyo wa Poland kujiunga na klabu hiyo. (Marca kwa Kihispania)

Mkufunzi wa Aston Villa Unai Emery anaweza kuamua kumuuza mlinzi wa Brazil Diego Carlos mwenye umri wa miaka 31 mwezi Januari. (Football Insider)

Winga wa Brazil Neymar anatazamiwa kurejea Santos huku klabu yake ya Saudi Arabia Al-Hilal ikifadhaishwa na matatizo ya jeraha ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32. (Cesar Luis Merlo)

Kiungo wa kati wa Benfica na Uturuki Orkun Kokcu, 23, amesifu athari ambayo meneja wa Liverpool Arne Slot amekuwa nayo kwenye maisha yake ya soka huku kukiwa na uwezekano wa kuhamia Anfield. (Liverpool Echo)

Fulham wameingia kwenye kinyang'anyiro cha kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa

Post a Comment

0 Comments