Aliyewahi kuwa mchezaji wa Simba na baadaye kutangazwa kusajiliwa na klabu ya Singida Black Stars bw.Israel Patrick Mwenda ameshindwa kuwasili kambini na kujiunga na wachezaji wenzake.
Taarifa za awali zinasema kuwa nyota huyo hakutimiziwa baadhi ya makubaliano ya kimkataba na ndiyo sababu ya yeye kutowasili kambini.Mpaka sasa Singida Black Stars imecheza mechi 2 za ligi ya NBC na wameibuka na ushindi bila ya nyota huyo.
Singida black stars wametolea ufafanuzi wa suala la mchezaji huyo kwa barua ya wazi
0 Comments