INTER MIAMI wametangaza mpango wa kuhamia katika uwanja wao mpya. Taratibu za ujenzi wa uwanja huo zimeshaanza na utatumia kiasi cha Pauni Milioni 750, Kwa mujibu wa taarifa rasmi uwanja huo utaanza kutumika mwaka 2026.Inter Miami inamilikiwa na mchezaji wa zamani wa Manchester United,Real Madrid,AC MILAN na PSG David Beckham kwa sasa timu hiyo inatumia Uwanja wa Chase Stadium unaochukua watu 21,550.
HIZI HAPA PICHA ZA UWANJA HUO
0 Comments