Napoli wanamtaka kiungo wa kati wa Manchester United, Scott McTominay na pia wanavutiwa na mchezaji mwenzake wa kimataifa wa Scotland, Billy Gilmour, huku West Ham wakimlenga Tammy Abraham wa Roma.
Napoli wameanza mazungumzo na Manchester United kuhusu uwezekano wa kumsajili kiungo wa kati wa Scotland Scott McTominay, 27, na wangependelea mkataba wa mkopo. (Times - usajili unahitajika)
Manchester United wanatarajia kuwasilisha ombi rasmi kwa kiungo wa kati wa Denmark Christian Eriksen, 32, ambaye amesalia na mwaka mmoja kwenye mkataba wake. (Sky Sports)
Napoli pia wanakaribia kumsajili kiungo wa kati wa Scotland Billy Gilmour mwenye umri wa miaka 23 kutoka Brighton . (Corriere dello Sport - kwa Kiitaliano)
0 Comments