Klabu ya Simba imeanza vyema mbio za ligi kuu NBC kwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-O dhidi ya TABORA UNITED mchezo uliopigwa dimba la KMC COMPLEX.
Simba walijipatia bao lake la kwanza kupitia kwa Chemalone aliyefunga kwa kichwa akimalizia pasi ya Ahoua dakika ya .Kipindi cha kwanza kilimalizika Simba wakiongoza bao 1-0 huku kiungo mshambuliaji Joshua Mutale akiumizwa na nafasi Yake kuchukuliwa na Awesu Awesu.
Kipindi cha pili kocha Fadlu alifanya mabadiliko kwa kuwaingiza Valentino Mashaka aliyepachika bao la pili dakika ya 69,Kibu Denis aliyetoa pasi ya bao la tatu kwa Awesu Awesu dakika ya 90 na kiungo Okejepha.
Matokeo hayo yanaifanya Simba kuongoza msimamo wa ligi kuu NBC ikiwa na alama 3 na mabao matatu ikifuatiwa na Singida black stars walioshinda mabao 3-1 dhidi ya ken Gold,nafasi ya tatu ni Mashujaa
0 Comments