BETI NASI UTAJIRIKE

SIMBA QUEENS YATOA DARASA LIGI YA MABINGWA AFRICA

 Klabu ya Simba queen imeanza vyema kusaka tiketi ya kushiriki michuano ya klabu bingwa Afrika kwa upande wa wanawake.

Michuano hiyo huanza naa mchujo kwa kuzikutanisha timu zinazotoka kanda mbalimbali za soka kisha washindi wa kanda hizo huingia hatua za robo fainali kuwania ubingwa  wa michuano hiyo.

Kwa upande wa Africa Mashabiki na Kati (CECAFA). Simba Queen imeibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Fad Djibouti kwa mkondo wa kwanza mchezo uliopigwa nchini Ethiopia.

Mabao ya Simba Queen yalifungwa na Jentrix Shikangwa,Elizabeth Wambui na Asha Rashid aliyefunga mabao matatu (hat trick). Mchezo wa marudiano utapigwa jijini Dar es salaam na kama Simba Queen watashinda watafuzu ligi ya mabingwa Africa kwa wanawake.

Post a Comment

0 Comments