Bodi ya ligi Tanzania imetangaza rasmi ratiba ya ligi kuu NBC itakayoanza kutimua vumbi tarehe 16 agosti. Mchezo wa ufunguzi utazikutanisha Pamba FC Vs Tanzania Prisons katika dimba la CCM kilumba jijini Mwanza.
Ligi hiyo itazikutanisha timu 16 zikiwemo SIMBA, YANGA,JKT TANZANIA,KMC,NA AZAM (DAR ES salaam)TANZANIA PRISONS na KENGOLD (mbeya) COASTAL UNION (Tanga) KAGERA SUGAR (KAGERA) TABORA UNITED (TABORA) MASHUJAA FC (KIGOMA) DODOMA JIJI (DODOMA) ,NAMUNGO (MTWARA) SINGIDA BLACK STARS (SINGIDA) PAMBA JIJI NA FOUNTAIN GATES (Manyara).
Kwa mujibu wa ratiba ,ligi hiyo itatamatika tarehe 24 Mei mwaka 2025. Mechi zote za ligi kuu zitaonyeshwa televishen na kusikika kupitia radio kwa kampuni zenye Haki ya kufanya hivyo na DAR24 itakuletea taarifa za yanayoendelea ndani na nje ya uwanja hivyo subscribe YouTube Chanel yetu pamoja na kurasa zetu za mitandao ya kijamii.
Hii hapa ratiba ya mechi zote
0 Comments