Yakiwa yamesalia masaa kadhaa kufungwa kwa dirisha la usajili ,Shirikisho la soka Tanzania limetoa taarifa kwamba klabu za Biashara United na Tabora United zimeruhusiwa kusajili baada ya kumaliza kesi za madai kwa wachezaji wao. Taarifa hiyo imesema FIFA imeviruhusu vilabu hivyo kusajili wachezaji wapya baada ya kulipa madai mbalimbali waliyokuwa wanadaiwa na wachezaji wa kigeni na wazawa
Hizi hapa barua zililotolewa na TFF kwenda kwa vilabu hivyo.
0 Comments