Chama cha soka nchini TFF kimetoa majina ya wachezaji 28 wa klabu ya Simba watakaotumika kwa msimu wa 2022/23 kwa ligi za NBC,Azam Federation Cup na michuano ya CAFCC. TFF waliozesha jina la Joash Onyango kama mchezaji halali wa Simba. Vyombo mbalimbali vililipoti kuhusiana na hatma ya Onyango kutimka klabuni hapo na kutua Singida Big Stars lakini taarifa kamili ya TFF imedhibitisha uwepo wa Onyango klabuni hapo .
Mpaka sasa Joash Onyango hajacheza mchezo wowote wa ligi baada ya kukosa nafasi mbele ya Enock Inonga Baka na Mohammed Qattara.Haya hapa majina ya wachezaji wa Simba watakaoitumikia timu hiyo kwa msimu huu.
0 Comments