BETI NASI UTAJIRIKE

KWA RATIBA HII YANGA WANAHITAJI DUA NZITO

 Klabu ya Yanga inayonolewa na kocha Nabi imejikuta katika wakati mgumu mwezi Septemba baada ya ratiba ya michuano mbalimbali kutoka na kuonyesha wanatakiwa kucheza mechi 6 muhimu ndani ya Siku 23 tu. Yanga wanasiku nne mpaka sasa waweze kucheza mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam FC mchezo utakaopigwa tarehe 6 September siku ya jumanne majira ya saa 1:00 jioni

Tarehe 10 itacheza  mchezo wa Kimataifa wa Ugenini dhidi ya Zalan FC mchezo utakaopigwa dimba la Azam Complex na tarehe 13 watacheza mchezo wa ligi ya NBC dhidi ya Mtibwa Sugar. Tarehe 17 watacheza mchezo wa marudiano  dhidi ya Zalan FC mchezo utakaopigwa dimba la Benjamini Mkapa na timu hiyo itapumzika mpaka tarehe 29 Septemba kupisha mechi za timu ya taifa.

hII hapa ratiba nzima ya Yanga kwa Mwezi Septemba Post a Comment

0 Comments