BETI NASI UTAJIRIKE

HIZI HAPA MECHI ZA UEFA ZITAKAZOPIGWA LEO USIKU

 Hatimaye michuano ya ligi ya mabingwa ulaya inarejea tena kwa kishindo kwa msimu wa 2022/23. Bingwa mtetezi Real Madrid atakuwa na kibarua kigumu kuhakikisha wanautetea ubingwa walioupata kwa msimu wa 2021/22 baada ya kuifunga Liverpool bao 1-0.

NANI SUPER STAR WAKO

Msimu huu timu nyingi zimeonekana kujipanga na kufanya vizuri kwa kusajili wachezaji wenye uwezo mkubwa wakiwemo Roberto Lewandowski aliyetua Barcelona,Sadio Mane aliyetua Bayern Munich, Haaland aliyetua Manchester City na wachezaji wengi wenye uwezo wa hali ya juu waliojipanga kufanya maajabu kwa msimu huu.

Mchezo wa kwanza kwa msimu huu  utaikutanisha Chelsea vs GNK Dinamo Zagreb mechi itapigwa dimba la utakaoanza saa 1:45 jioni ukifuatiwa na michezo ya Sevilla vs Manchester City,Celtic vs Real Madrid,Dortmund vs Copenhagen PSG vs Juventus RB Salzburg vs AC Milan itakayopigwa saa 4:00 Usiku. 

Je timu yako iko group gani?

Post a Comment

0 Comments