Baada yagera Sugar uliomalizika kwa Azam kushinda mabao 2-1 klabu ya Azam itakuwa na kibarua kizito a kucheza michezo miwili ya nyumbani dhidi ya Geita Gold mchezo uliomalizika kwa sare ya mabao 1-1 na ule wa Kdhidi ya Yanga hapo kesho saa 1:00 dimba la Mkapa.
Azam wanarekodi mbaya dhidi ya Yanga kwa msimu wa 2021/22 baada ya kufungwa mechi zote mbili na kuwafanya wapoteze pointi 6 . Mchezo wa kesho watalazimika kuutumia kulipiza kisasi na kurejea kwenye mbio za ligi kuu NBC.
Azam wanapoint 4 katika mechi 2 na kama watashinda mchezo huo basi watafikisha pointi 7 na kurudisha morali kwa wachezaji kuelekea Ubingwa. Kwa sasa Azam wananolewa na kocha Kali Ongala aliyekaimu nafasi ya Moalin aliyeshushwa kufundisha timu za vijana baada ya kuwa na mwendelezo mbaya kwa mechi chache alizocheza.
Kikosi cha Azam kinategemewa kuwa na nyota kadhaa wakiwemo Sospeter Bajana,Abdul Sopu,Tepsie Evance ,Kipre JR,Tape Edinho ,Mkandala na Prince Dube.
hawa hapa wachezaji wa Azam wakijiandaa na mchezo huo
0 Comments