BETI NASI UTAJIRIKE

CHELSEA YAANZA VIBAYA UEFA DHIDI YA DINAMO ZAGREB

 Klabu ya Chelsea imeanza vibaya msimu wa 2022/23 baada ya kukubali kufungwa bao 1-0 na Dinamo Zagreb ya nchini Crotia kwenye michuano ya UEFA. mchezo huo wa kundi E umeifanya Chelsea kuwa na mwendelezo mbaya baada ya kukubali vipigo viwili dhidi ya Leeds United mchezo waliofuingwa mabao 3-0  na Southampton 2-1kwa EPL na kuifanya timu hiyo kupoteza michezo 3 kati ya 7 iliyocheza.


Tomas Tuchel amekuwa na presha ya hali ya juu baada ya kuwasajili wachezaji muhimu kwa kila eneo lakini timu imekuwa ikicheza kwa kiwango cha chini mno.Kocha Tuchel amewatumia nyota kadhaa aliowasajili kama Cucurela,Koulibal,Wesley Fofana ,Raheem Sterling na Pierre Aubemayang lakini bado timu haijakaa sawa.


Post a Comment

0 Comments