Hatimaye Chris Mushimba Mugalu amefanikiwa kujiunga na klaby ya AL QUWA ya Nchini Iraq. Timu hii imemnasa Mugalu aliyemalizana na Klabu ya Simba msimu uliomalizika. Mugalu anakuwa mchezaji wa nne wa klabu ya Simba aliyefanikiwa kupata timu nyingine baada ya kumalizana na Simba.
Simba waliwaacha Rally Bwalya aliyetua Amazulu ya Africa Kusini,Meddy Kagere na Pascal wawa wametua Singida Big Star huku Mugalu akitua Al Quwa. Tadeo Lwanga bado haijafahamika atatua timu gani mpaka sasa.
0 Comments