BETI NASI UTAJIRIKE

HUYU HAPA MRITHI WA KAGERE NA MUGALU

 Taarifa zisizo rasmi ni Simba inampango wa kumsajili mbadala wa Kagere na Mugalu kuelekea msimu wa 2022/23. Wachezaji hao wamekuwa na viwango duni kwa msimu huu na sasa wanahitajika kuondoka klabuni hapo.


Taarifa za ndani zinasema klabu hiyo inajiandaa kumnunua Kwame Pepra anayekipiga Orlando piratea ya Afrika Kusini na hilo ni pendekezo la aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Pablo Martinez.

Kama mchezaji huyo atajiunga na miamba hiyo ya soka Afrika Mashariki basi itakuwa imelamba dume kwani mchezaji huyo anaumri mdogo na kipaji kikubwa mno

Post a Comment

0 Comments