BETI NASI UTAJIRIKE

TAJIRI WA PSG KUNUNUA TIMU YA AFRICA

 Taarifa za ndani kabisa zinasema Mwenyekiti  wa Qatar Sports Investment na  makampuni ya televisheni ya BEIN SPORTS and Bein Group Media Bwana Nasser Al Kherafi amejipanga kuwekeza ndani ya klabu ya Es Setifiene inayoshiriki ligi kuu Algeria.

Raisi huyo wa PSG amefikia mikakati hiyo baada ya mwenendo mbaya wa kiuchumi kwa klabu hiyo,na kuna uwezekano akaichukua mwishoni mwa mwezi huu. Tajiri huyo kwa sasa ndiye anayeongoza kumiliki wachezaji wa gharama kubwa zaidi duniani akiwamo Messi,Neymar ,Mbape.


.

Post a Comment

0 Comments