BETI NASI UTAJIRIKE

YANGA YAZIDI KUIMARISHA NGOME YA MASHAMBULIZI

 Klabu ya Yanga imezidi kujiimalisha kwenye safu ya ushambuliaji baada ya kumnasa mshambuliaji mpya Crispin Ngushi aliyekuwa anakipiga Mbeya Kwanza msimu huu


Kuwasili kwa Ngushi kunaongeza makali kwa safu hiyo ya ushambuliaji yenye washambuliaji kama Fiston Mayele na Makambo.Ngushi amekuwa na kiwango kizuri msimu huu akifunga mabao 3 ya ligi kuu na alikuwa tegemezi zaidi kwa Mbeya kwanza.

Baada ya kuwasili Ngushi baadhi ya mastaa watalazimika kuondoka klabuni hapo kupisha usajili huo mpya huku jina la Deus Kaseke likiwa moja ya watu wanaotakiwa kuondoka .

Post a Comment

0 Comments