BETI NASI UTAJIRIKE

RASHFORD KUTIMKA MANCHESTER UNITED?

 Taarifa zisizo rasmi zimeanza Kusambaa mitandaoni zikimuhusisha mshambuliaji wa Manchester United na timu ya Taifa Uingereza kutakiwa na vilabu mbalimbali barani ulaya.


Taarifa zinasema kocha wa Barcelona Xavi Hernandez amefanya mawasiliano na kocha wa Manchester United ili aweze kumnasa mchezaji huyo mwenye miaka 24. Lakini pia PSG wanatajwa kumuwinda nyota huyo kuchukua nafasi ya Kylian Mbappe atakayetimka Mwishoni mwa msimu.

Rashford mwenye mkataba na Manchester United mpaka mwaka 2024 hajazungumza chochote mpaka sasa na Manchester United hawajatoa tamko lolote. 

Post a Comment

0 Comments