BETI NASI UTAJIRIKE

PICHA :SHAIBOUB AWA GUMZO ZANZIBAR

 Kurejea kwa Sharif Eldin Shaiboub ndani ya Simba kumeibua shangwe kwa mashabiki wa timu hyo kutokana na umahili mkubwa aliouonyesha kiungo huyo kwa msimu wa 2019/20 chini ya kocha Patrick Aussems .


Shaiboub anakumbukwa kwa uwezo wake wa kumiliki mpira,kupiga pasi za mwisho na kufunga mabao magumu hivyo kurejea kwake imekuwa ni habari njema kwa mashabiki wa timu hiyo.Akiwa Zanzibar kwenye majaribio yake Shaiboub ameonekana kuwa na ubora ule ule aliokuwa nao na wachambuzi wanaamini ni wakati sahihi kwa nyota huyo kurejea msimbazi

Hizi ni baadhi ya picha za wachezaji wa SImba wakionyesha uwezo wao.

Post a Comment

0 Comments