BETI NASI UTAJIRIKE

MASHABIKI YANGA WAANZA KUOTA UBINGWA WA LIGI KUU

 Mashabiki wa Yanga wamejikuta wakiwa na shangwe baada ya timu yao kuendelea kuongoza msimamo wa ligi kuu kwa tofauti ya pointi 10. Yanga imekiimarisha kikosi cha  msimu huu 2021/22 kinschonolewa ns Mtunisia Nabi na Cedric Kaze.


Yanga kwa sasa wana pointi 35 wakicheza michezo 13 na wamefanikiwa kuwa na uwiano wa magoli 19 huku nafasi ya pili ikishililiwa na Simba mwenye pointi 25  baada ya michezo 13,Mbeya City wanapointi 22 na azam Fc wanapointi 21.

Kwa mantiki hiyo Yanga watamaliza raundi ya kwanza ya ligi kuu wakiwa wanaongoza kwenye msimamo wa ligi na kama wataendelea na kasi waliyonayo basi mzunguko wa pili tutegemee wakiibuka na taji la ligi kuu Tanzania Bara.

Kikosi cha Yanga kimezidi kuwa imara baada ya usajili wa nyota Ushindi kurejea kikosini Balama Mapinduzi huku Fiston Mayele,Khalid Aucho ,Feisal Salum na Saido Ntabazonkiza wakiwa na moto mkali ndani ya kikosi hicho. 

  

Post a Comment

0 Comments