BETI NASI UTAJIRIKE

BARCELONA WAANZA 2022 KIBABE REAL MADRID IKIVURUNDA

 Klabu ya Barcelona imeuanza vyema mwaka 2022 baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1 dhidi ya Mallorca kwenye mchezo uliopigwa jana usiku.Luuk de Jong aliwapa barcelona bao la uongozi dakika ya 44.Matokeo hayo yameipeleka Barcelona nafasi ya 5 kwa kuwa na pointi 31 huku nafasi ya 4 ikishikiliwa na Atletico Madrid mwenye pointi 32.Nafasi ya kwanza bado inashikiliwa na Real Madrid mwenye point 48 baada ya michezo 20 kucheza.

Matokeo mengine ni Atleticco Madrid kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Rayo Vallecano,Celta Vigo 2-0 dhidi ya Real Betis, Gettafe 1-0 Real Madrid 

Post a Comment

0 Comments