BETI NASI UTAJIRIKE

TFF AWARDS ZATIKISA,SIMBA NA YANGA ZAFUNIKA

 Shirikisho la Soka nchini TFF limetangaza orodha ya wachezaji na viongozi mbalimbali wanaowania tuzo kwa waliofanya vizuri kwenye ligi kuu msimu wa 2020/21. Majina mbalimbali yametajwa ikiwamo Makocha Bora,Wachezaji Bora na wasemaji Bora.

Klabu ya Simba imeongoza kwa kutoa wachezaji wengi na viongozi mbali mbali huku ikifuatiwa na Yanga pamoja na Ruvu Shooting,Azam na Kagera Sugar . Swali ni je nani ataondoka na tuzo hizo kwa msimu uliomalizika.Nimekuwekea orodha nzima ya wanaowania tuzo hizo kwa vipengele mbalimbali

Itakumbukwa pia TFF walitoa orodha za wachezaji na viongozi mbalimbali wanaowania tuzo za AZAM SPORTS FOOTBALL CUP kwa msimu wa 2020/21. Tuzo hizo zitatolewa sambamba na tuzo za ligi kuu

Post a Comment

0 Comments