BETI NASI UTAJIRIKE

SIMBA YAZIDI KUTAJIRIKA YALAMBA TENA MAMILIONI

 Klabu ya Simba imekabidhiwa hundi ya shilingi milioni 100 kama zawadi ya mshindi wa ligi kuu Tanzania BaraHafla ya makabidhiano inaendelea usiku huu katika ukumbi wa Julius Nyerere international convention.

Makabidhiano hayo yamefanywa na waziri mkuu ambaye ni mgeni rasmi akiwa na rais wa TFF Karia waliyomkabidhi Mkurugenzi Mtendaji Barbara GonzalezHundi ya milioni 100 imetoka kwa mdhamini aliyekwisha maliza muda wake kampuni ya Vodacom.

Post a Comment

0 Comments