BETI NASI UTAJIRIKE

RATIBA ZA MECHI ZALIGI YA MABINGWA ULAYA UEFA LEO USIKU

 Michuano ya ligi mabingwa ulaya inaendelea leo usiku kwa kuwakutanisha vigogo mbali mbali wa ulaya baada ya michezo ya hapo jana kumalizika kwa raundi ya tatu yakiwa na matokeo ya kushangaza zaidi. 


Barcelona akiwa nyumbani atapambana na na Dynamo Kyiv ,Manchester United atakwaana na Atlanta huku Chelsea akiwakaribisha Malmo na Bayern Munich akiwa ugenini dhidi  ya Benfica.


Sebastien Haller kutoka Ajax anakuwa mchezaji mwenye mabao mengi akiwa na jumla ya magoli 6 huku mfalme wa Misri kutoka Liverpool akiwa na mabao 5  Roberto Lewandowski kutoka Bayern Munich akiwa na mabao 4

Post a Comment

0 Comments