BETI NASI UTAJIRIKE

MASHABIKI YANGA WANAHITAJIKA UWANJA WA NDEGE SAA 6 MCHANA


Taarifa rasmi iliyotolewa kuhusu ujio wa kiungo Carlos Ferandes 'Carlinhos' kutoka kule nchini Angola, ni kuwa mwamba huyo atawasili leo Jumanne majira ya saa saba mchana.

Kama ilivyokuwa kwa Tuisila Kisinda, Mukoko Tonombe na Michael Sarpong, Mashabiki wa Yanga wametakiwa kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kumpokea fundi huyu anayefananishwa na Kelvin De Bruyne wa Manchester City
Baada ya Kisinda na Mukoko, huyu ndiye mtu ambaye Wanayanga wanamsubiri kwa hamu
Ni kesho Jumanne, saa saba mchana, atatua ardhi ya Tanzania...

Post a Comment

0 Comments