BETI NASI UTAJIRIKE

YANGA WATOA MSIMAMO WAO BAADA YA MORRISON KUSHINDA KESI


Kama unadhani suala la Morrison na Yanga limekwisha basi elewa kwamba sakata hilo ndiyo kwanza limeanza kwa upande wa klabu ya Yanga. Uongozi wa klabu hiyo umepinga maamuzi ya TFF na sasa unajiandaa kwenda mahakama za kimataifa kusuluhisha suala hilo.

Kamati ya Nidhamu na hadhi ya wachezaji inayosimamiwa na TFF ilitoa hukumu kwamba mchezaji Morrison anauhuru wa kuichezea klabu yeyote kwa kuwa mikataba aliyosaini na Yanga ni batili. Yanga wamejibu shauri hilo kwa barua ya wazi.Post a Comment

0 Comments