BETI NASI UTAJIRIKE

YANGA WAMTAMBULISHA MRITHI WA JUMA ABDUL


Klabu ya Yanga imemtabulisha rasmi beki mpya wa klabu hiyo kibwana Shomari aliyekuwa anakipiga klabu ya mtibwa Sugar. Klabu ya Yanga imeendelea kuimalisha safu yake ya ulinzi kwani siku chache zilizopita ilimsajili beki kisiki Bakari Mwamnyeto huku ikiwapiga chini baadhi ya mabeki wa timu hiyo akiwemo Juma Abdul ,Kelvin Yondani,Ally Sonso,Ally Aly ,Jafari na Dante 

Kibwana alikuwa nguzo imara kwa klabu ya Mtibwa kwa msimu wa 2019/20.Mchezaji huyo amesaini miaka miwili ya kuitumikia Yanga na anategemewa kuimalisha safu ya ulinzi ya klabu hiyo.
Post a Comment

0 Comments