BETI NASI UTAJIRIKE

WEKENI BANDO YANGA WANA JAMBO LAO BAADA YA ANGA KUFUNGUKA


Klabu ya Yanga imetangaza rasmi kuwa wachezaji wake wapya waliopko nje ya nchi wataanza kuwasili hapo kesho. baada ya anga la kimataifa kufunguka. 

Inasemekana wachezaji kutoka Ghana ,Nigeria ,Angola ,Congo wataanza kuingia siku chache zijazo baada ya Injinia kutangaza kuwa wachezaji wengi wameshindwa kuwasili nchinio kutokana na anga la nchi nyingi kuwa limefungwa.

Kupitia mitandao yao ya kijamii Yanga wameandika |
"Bando lipo?Kaa tayari sasa ,Anga limefunguka" Na afisa mhamasishaji wa klabu hiyo Antonio Nugaz amenukuliwa akisema  "Yajayo yanafurahisha.."

Post a Comment

0 Comments