BETI NASI UTAJIRIKE

WAZEE WA MPAPASO "RUVU SHOOTING"WAMNASA KOCHA YANGA


Uongozi wa Ruvu Shooting umeingia mkataba na Kocha mpya, Charles Boniface Mkwasa (Master), ambaye atakuwa Kocha Mkuu.Mkwasa amechukua mikoba ya Salum Mayanga aliyekuwa akikinoa kikosi hicho msimu wa 2019/20.

"Tunaimarisha kikosi na kuboresha benchi la ufundi, amesaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya Barcelona ya Bongo," amesema.

Kabla ya kuibukia ndani ya Ruvu, Mkwasa alikuwa akikinoa kikosi cha Yanga na aliomba ajiweke pembeni baada ya msimu wa 2019/20 kukamilika.

Post a Comment

0 Comments