BETI NASI UTAJIRIKE

USAJILI WA MAKANG'A NDANI YA MTIBWA SUGAR UNATIJA KUBWA


Klabu ya Mtibwa Sugar imefanikiwa kumnasa George William Makang'a  aliyekuwa mshambuliaji wa Namungo FC ya mkoani Lindi kwa mkataba wa miaka miwili.Makanga alikuwa kwenye kiwango kizuri alipokuwa akiitumikia Namungo na alifanya vyema kwa nafasi chache alizocheza.

Usajili huu unatija kwa mtibwa Sugar iliyofanya vibaya kwa msimu uliopita huku ikiwa na uhitaji wa kufanya vyema kwa msimu wa 2020-21.Uwepo wa washambulliaji wend=gi ndani ya klabu hiyo utaifanya kurudi kwenye kiwango chake cha zamani.

Post a Comment

0 Comments