BETI NASI UTAJIRIKE

SIMBA WANAJAMBO LAO USIKU HUU SERENA HOTEL


Klabu ya Simba inamalizia sherehe za Simba day kwa kutoa tuzo mbalimbali kwa uongozi na wachezaji wa timu hiyo. Tukio hilo linafanyika jijini dar es salaam katika hotel ya Serena na linajumuisha timu ya wanaume na wanawake.

Klabu ya vital o ndiyo wageni waalikwa wa tuzo hizo zitakazotolewa kwa vitengo mbalimbali.

Hizi ni baadhi ya picha za tukio


Post a Comment

0 Comments