BETI NASI UTAJIRIKE

SEVILLE YAENDELEZA UBABE WAKE EUROPA EAGUE


Klabu ya Seville imeendelea kuonyesha ubabe kwenye michuano ya EUROPA baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Intermilan mchezo uliopigwa Jijini Cologne nchini Ujerumani.

Intermilan walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia Romelo Lukaku kupitia mkwaju wa penati dakika ya 5 lakini Luuk Dejong alisawazisha bao hilo dakika ya 12 na dakika ya 33 alifunga bao la pili . Diego Godin alisawazisha bao la hilo na timu hizo kwend mapumziko zikiwa a sare ya mabao 2-2.

Dakika ya 74 Lomelu Lukaku alijifunga bao na kufanya matokeo ya mchezo huo kumalizika kwa Inter Milan kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 na kutwaa kombe hilo kwa mara ya sita .Klabu hiyo ilishinda kuanzia msimu wa (2005/06, 2006/07, 2013/14, 2014/15, 2015/16 na 2019/20)

Post a Comment

0 Comments