BETI NASI UTAJIRIKE

PICHA:MOTO UMEKWISHAANZA KUWAKA HUKO MO SIMBA ARENA BUNJU

 Wachezaji wa klabu ya Simba leo hii jumatatu agost 17 wameanza rasmi MAZOEZI makali kuelekea msimu mpya wa ligi kuu unaoanzatarehe 06 septemba. Kikosi chote chini ya kocha Sven kimeanza mazoezi hayo kwenye dimba Lao la BUNJU.

Kikosi hicho kimejumlisha Wachezaji wa zama na wapya. Jumamos Kikosi cha simba kitawatumia Wachezaji wote wapya kwenye mchezo wa kirafiki siku ya simba day.

Hizi hapa ni picha za Wachezaji hao wakifanya yao mo simba arena
Post a Comment

0 Comments