BETI NASI UTAJIRIKE

WAKILI MSOMI MORRISON NA WAGENI WENZAKE WAANZA MAZOEZI BUNJUKikosi cha klabu ya Simba hioi leo kimeingia kambini na kuanza mazoezi rasmi kuelekea msimu wa 2020./21. Wachezaji wa klabu hiyo hasa wageni wameonekana wakifanya mazoezi ya nguvu na kuweka matumaini ya kwa iongozi waliowasajili.

Kocha Sven aliongoza mazoezi hayo kuelekea mchezo wa Simba Day tarehe 22 Agosti lakini pia kwa  ajili ya mechi ya Ngao ya Jamii tarehe 29 mchezo utakaopigwa mjini Moshi dhidi ya Namungo FC . Baada ya michgezo hiyo Simba wataanza ligi kuu rasmi 

Hizi ni baadhi ya picha za wachezaji wapya wa Simba wakiwa mazoezini
Beki kisiki IBRAHIM AME

MSHMBULIAJI CHRIS MUGALU

BOX TO BOX MIDFIELDER LARRY BWALYA

CHARLES ILAMFYA
BENARD MORRISON WAKILI MSOMI
BEKI WA KULIA NI DAVID KAMETA
BEKI MKABA ROHO JOASH ONYANGO

Post a Comment

0 Comments