BETI NASI UTAJIRIKE

MKATABA WA ZAHERA NA GWAMBINA FC NI GUMZO


Aliyekuwa kocha wa mkuu wa Yanga SC, Mwinyi Zahera amejiunga rasmi na klabu ya Gwambina FC ya Misungwi mkoani Mwanza iliyopanda Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu

Ni siku chache zimepita tangu uongozi wa klabu hiyo ulipokataa kwamba kocha huyo hana uhusiano wowote na klabu hiyo na wao hawana mpango wa kumuajili mbali na kwamba ametembelea uwanja wa timu hiyo na pamoja na kambi ya timu hiyo.

Uwepo wa Zahera ndani ya Gwambina utaongeza chachu ya mashindano ya timu hiyo na kuifanyaiweze kufanya vizuri kwenye michuano ya kombe la FA pamoja na ligi kuu.Taarifa zisizo rasmi zinasema kuwa Zahera atakuwa analipwa mshahara mnono zaidi kulio kocha yeyote bongo

Post a Comment

0 Comments