BETI NASI UTAJIRIKE

MANCHESTER UNITED, INTERMILAN ZATINGA NUSU FAINALI EUROPA


Klabu za Manchester United na Inter Milan zimefanikiwa kuingia nusu fainali ya michuano ya Europa League. Sharktar Donestic,Wolves ,Sevilla na Basel zitacheza siku hii ya leo ili kupata timu mbili za kucheza nusu fainali.

Manchester United imefika fainali baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Copenhagen bao pekee lililofugwa na kiungo mreno Bruno Fernandes kwa mkwaju wa penati.

Inter Millan wamefika nusu fainali baada ya kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Bayern Leverkusen.Nicco Barela na Romelu Lukaku ndiyo wachezaji walioifungua Intermilan mabao mawili huku Kai Hevertz akifunga bao la kufutia machozi.


Post a Comment

0 Comments