BETI NASI UTAJIRIKE

KWA RATIBA HII TAIFA STARS ATAFUZU AFCON 2021


Shirikisho la Soka Africa (CAF) limetoa ratiba ya timu zote kuweza kufuzu Afcon 2021 itakayopigwa nchin Cameroon mwezi JUNI mwaka 2021. Taifa Starz ni moja ya timu zitakazoshiriki michuano hiyo endapo itafuzu. Taifa Starz ipo kundi moja na Tunisia,Libya na Equatorial Guinea.

Taifa Stars imecheza mbili katika kundi lake, J na kufungwa moja, 2-1 dhidi ya Libya ugenini na kushinda moja, 2-1 dhidi ya Equatorial Guinea nyumbani Jijini Dar es Salaam. Hii ndiyo ratiba kamili ya mechi za Taifa Stars kwa kundi J.


Post a Comment

0 Comments