BETI NASI UTAJIRIKE

KWA MWENDO HUU SIDHANI AZAM,SIMBA,YANGA NA NAMUNGO ZITAFANYA LOLOTE LIGI YA MABINGWAKlabu za Simba,Yanga,Azam na Namungo zimeshindwa kuwania tuzo ya timu bora yenye nidhamu" Fair Play" kwa msimu wa 2019/20. Bodi ya ligi kuu iezitaja timu za Kagera Sugar ,Coastal Union na Mwadui kuwania tuzo hiyo. 

Tuzo hizi hutolewa kwa timu yenye kadi chache za njano na nyekundu, kutodharau maamuzi ya marefarii ,timu zisizo na longolongo uwanjani na hata kufuata misingi ya mchezo. Baadhi ya wachezaji hufanya mambo yanahayoribu nidhamu hivyo kuzigharimu timu zao.Mfano ni tukio lile la Morrison kufanyiwa mabadiliko na kuamua kutoka kabisa nje ya  uwanja.

Timu za Azam,Simba,Yanga na Namungo zinacheza michuano ya kimataifa kwa msimu wa 2020/21 kama zitenda huko zikiwa na nidhamu mbovu basi naamini hazitafika popote kwani nidhamu ni msingi wa mafanikio.

Mbali na tuzo hizo baadhi ya majina kama Aishi Manula,Chama na Miquisonne kutoka klabu ya Simba wameingia vipengele mbalimbali kuwania tuzo hizo.

Hivi ni baadhi ya vipengele vinavyowaniwaPost a Comment

0 Comments