Vilabu mbalimbali bado havijaanza mazoezi kuelekea msimu mpya wa 2020/21.Baadhi ya timu ziko bize kusajili na nyingine zikipambana namna ya kuingia kambini hali ni tofauti kwa klabu ya Azam kwani wao wamekwishaanza mazoezi kamili ya msimu mpya.
Msimu wa 2020/21 utakuwa wenye upinzani kwani timu mbalimbali zimesajili wachezaji mpaka makocha wapya wameletwa.Azam wao wameendelea kusajili huku wakifanya mazoezi makali.Nimekuwekea picha kumi wachezaji wa azam wakiendelea na mazoezi kwa ligi itakayoanza tarehe 06 Septemba
0 Comments