BETI NASI UTAJIRIKE

KWA JESHI HILI MWINYI ZAHERA ATATIKISA MSIMU WA 2019/20


Wakati vilabu mbalimbali vikiendelea na usajili kwa msimu wa 2020/21 klabu ya Gwambina FC yenye maskani yake jijini mwanza haipo nyuma na maandalizi hayo. Mbali na kumiliki uwanja wake lakini pia imejipanga kutikisa msimu ujao.

Malengo makubwa ya Mwinyi zahera ni kutwaa taji la ligi kuu na ndio maana amekwishaanza kumwaga cheche ndani ya klabu hiyo. Hiki ni kikosi cha Gwambina kwa msimu wa 2020/21. Je atasajili wachezaji wengine


Makipa.
1. Mohamed Makaka kutoka Ruvu Shooting FC
2. Isihaka Ibrahim alipanda na Gwambina FC
3. Stali Nyambe- kutoka Buildcon FC ya Zambia
4. Mohamed Hussein alipanda na Gwambina FC

Mabeki.
1. Revocatus Richard alipanda na Gwambina FC
2. Salum Kipaga alipanda na Gwambina FC
3. Hamad Nassor alipanda na Gwambina FC
4. Anthony Matogoro alipanda na Gwambina FC
5. Aron Lulambo kutoka  KMC 
6. Lameck Daniel kutoka  Biashara FC
7. Baraka Mtui “Popa” kutoka Ruvu Shooting 
8. Novartus Lufunga kutoka Lipuli FC

Viungo.
1. Yusuph Kagoma alipanda na Gwambina FC
2. Yusuph Lwenge ‘Dunia’ alipanda na Gwambina 
3. Salim Juma Sheshe alipanda na Gwambina FC
4. Rajab Athuman alipanda na Gwambina FC
5. Said Mkangu kutoka Sahare FC
6. Jacob Massawe alipanda na Gwambina 


Washambuliaji.
1. Meshack Abraham alipanda na Gwambina FC
2. Jimmyson Steven alipanda na Gwambina FC
3. Paul Nonga kutoka Lipuli FC
4. Kapama Kibadeni alipanda na Gwambina 
5. Moric Mahela kutoka Stand United
6. Japhet Makalai kutoka Kagera Sugar 
7. Miraji Saleh kutoka Stand United

Post a Comment

0 Comments