BETI NASI UTAJIRIKE

KUKOSEKANA KWA UMTITI KULIPELEKEA KIAMA KWA BARCELONA


Beki tegemezi wa Barcelona Samuel Umtiti alikosekana kwenye mchezo wa ligi ya Mabingwa ulaya baada ya kupimwa na kukutwa na virus vya Corona. 

Kukosekana kwa Umtiti kulipelekea Barcelona kukubali kipigo cha mabao 8-2 dhidi ya Bayern Munich kwenye mchezo wa robo fainali na kipigo hicho kimeifanya Barcelona itolewe kwa aibu kwenye micchuano hiyo.

Kwa sasa hali ya Umtiti ni nzuri na anaendelea na matibabu akiwa nyumbani huku taarifa zikisema nyota huyo atarejea mapema dimbani.Taarifa za klabu hiyo zililipoti kuhusu mchezaji huyo. Baadhi ya wachambuzi wanaamini kukosekana kwa nyota kuliweka wazi pengo la Barcelona kupelekea kipigo hicho 

Post a Comment

0 Comments