BETI NASI UTAJIRIKE

JE YANGA ATALIPA KISASI CHA MABAO 4-1 OKTOBA 18?


Ratiba ya ligi kuu Tanzania bara imekwishatoka hukumechi iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu kati ya Yanga na Simba mzunguko wa kwanza imepangwa kuchezwa tarehe 18 Oktoba. Yanga watakuwa na kibarua kizito siku ya mechi wakiwa na shauku ya kulipa kisasi cha kufungwa mabao 4-1 kwenye mchezo wa nusu fainali ya Azam Federation Cup.

Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania, Almas Kasongo amesema hayo leo, makao makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania ambapo kuna mkutano wa waandishi wa habari.Leo Agosti 17, ratiba rasmi inatolewa kwa ajili ya msimu mpya unaotarajiwa kuanza Septemba 6.

Tarehe ya marudiano baina ya timu hizo itapigwa tarehe 20 February 2021.Michezo hii yote itapigwa dimba la mkapa jijini Dar es salaam.

Post a Comment

0 Comments